73 comments

    1. Maoni mimi ni dau kubwa napenda kutowa maoni yangu juu yatabia isiyo yakimichezo kwa vilabu vyetu kwani sisi tulio mbali tuna fatiliya ligiyetu ila kwa tabia Kama hiyo munaturudisha nyuma maoniya ngu tumu itakayo gomea kanuni viongozi wake wafungiwe miezi mitatu nafaini ya miliyoni sabini nafaini ilipwe ndaniya siku kumi14 ikipita kama haikulipwa kila siku atalazimika kuongeza asilimia tano 5f

  1. Wazamini nbc mnapaswa kuendelea kuzamini hii ligi kwasababu imekuwa na ubora haswa mlivyo weka uzamini wenu
    I LIKE VERY MUCH THIS LEAGUE

  2. Msimu ujao 25/26 kutakuwepo na VAR ? na pia kuhusu mechi ya tz prisons v yanga na kengold v simba mbn zinachezeka siku moja na mda mmoja lakini tz prisons na kengold wanatumia uwanja mmoja

Join the Conversation

Your email address will not be published. Required fields are marked *