Day: December 21, 2025

Bigman FC vs Mbeya Kwanza

Mchezo uliahirishwa Desemba 21 kutokana na mvua kubwa hivyo kupelekea uwanja kujaa maji, hivyo kupelekea kuchezwa Desemba 22 Asubuhi.