Young Africans
2 vs 0
Simba
2 vs 0
SimbaDetails
| Date | Time | League | Season | Full Time |
|---|---|---|---|---|
| June 25, 2025 | 5:00 pm | NBC PREMIER LEAGUE 2024/2025 | 2024/25 | 90' |
Ground
| Benjamin Mkapa, DSM |
|---|
Results
| Club | 1st Half | 2nd Half | Goals | Outcome |
|---|---|---|---|---|
| Young Africans | 0 | 2 | 2 | Win |
| Simba | 0 | 0 | 0 | Loss |
Young Africans
| # | Player | Position | Goals | Assists | Penalty Goals | Cleansheet | Man Of The Match |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 26 | Pacome Zouzoua | Midfielder | 1 (66') | 1 | 0 | 0 | |
| 24 | Clement Mzize | Forward | 1 (86') | 0 | 0 | 0 | |
| 39 | Djigui Diarra | Goalkeeper | 0 | 0 | 0 | 1 | |
| Total | 2 | 1 | 0 |
Simba
| Position | Goals | Assists | Penalty Goals | Cleansheet | Man Of The Match |
|---|---|---|---|---|---|
| 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
Live
2 - 05:00 pm
Young Africans
Simba SC
yanga 0-3 simba
Sawa kabisa
Simba hatuna mbamba
Haha nyuma mwiko mweusi,watasema nn maana yake
Yanga 1 simba 0
Round hii mbona yanga tunawashika na mikono
Simba wajipange ushindi ni wa yanga
KAMAKAWA NDUGU MWANANCHI YANGA MBELE
Labda ashinde njaa
Simba wameyatimba watajuta kwani hao kwasasa kama wakezetu tunawafanya tunacho jiskia
simba ya sasa ni mafuta unamjua mpanzu wewe au unamusikia
Kawaida2 simba 5G
Ramek kagera kijan mpambanaji mzee wa kutabil kama uniamin nitafte kwa 0689486186 yanga vs simba matoke full time 1-1 gusa achia na ubaya ubwela
Yaan simba kazini kwao kuna kazi ni mwendo wa 5
Safari hii yanga hawatoboi simba hawawezi kufutiwa gazeti na yanga tu we hauoni michezo yote ya ugenini hawajafugwa wala kudroo na wamefugwa magoli mawili tu pale kwenye tano mbili zidi ya kagera
Is this game on Azam Complex or Benjamin Mkapa?
Benjamin Mkapa
yanga-5
simba-1 hapo vipi
How much is ticket? Coming from Finland to my first Kariakoo Derby
Yanga- 4 simba-0
yanga oweee
kexho simb wanapigwa gol 2
Is this cancelled?
Simba a2jui kuongee sisi 2nafanya vitendo
KWAN SIMBA WANAOGOPA NINI?
yanga-5
simba-1 hapo vipi
yanga-5
simba-1 hapo vip
Kaz ipo
Hatujakimbia mechi sisi wao wametia ugali maji wacha nasisi tutie mboga mchanga
HAAHAAHAA! Najaribu kuwaza kwa sauti ivi match ingekua mchana mazoeaz ya mwisho wangeenda na zile mbuzi kweri uwanjan?
uzuli wa simba haina mbamba kama yanga wange kubali tupige mazoezi waje waone ubaya ubwela ulivyo
musa galusi simusonga
PICHA
Ni wakati wa sahihi kwa tff kujitathimini wao binafsi taswira kama hii inamaanisha”poor leadership”
Safahaar hiii yanga wameyatimba tunahakikisha golini (diara) ametoka
Ubaya ubwege ni wa0ga kishenzi
Waleteni tu simba hao ni wachumba tu.
Simba nguvu moja nyie hamuoni tunatwaa taj shirikisho na tunakupiga young hatuogopi UBAYA UBWELA
Simba hatar sana
Waje2 watamkuta mpanzu
Yani yanga hana chake
UTABIR WANGU
Yang 2 -3 Simba
muchezo mugumu .
ya kimataifa simba yanga acha shobo
5000 TSH
HATUCHEZI NG’OO
Yan safari hii mpanzu ataonyesha had nguo yandan kwa isirael mwend yanga 1-1 full time
Yanga 6-1 simba
Yanga wata yatimba tarehe 15 wata aaangana sana
yanga nimwendowakushinda yaani simba wameyakanyaraundii!
YANGA MBELE
YANGA
Waache makolo washoboke kamdom katawaponza
Simba hatuna mbamba
derby hatuchez
derby hatuchez
hatuchezi
Kijan asie choka kutafta niite ramek.kagera niko karagwe kat nyaishozi senta nasema Deby ya kariakoo matoke ful time 1-1 kama we ni wenzangu wa mikeka nitafte kwa namb hii 0689486186
Ubaya sio ubwera na gusa sio achia twend kwao tunabaki kwetu
Ubaya ubwela
Simba hata miaka 50 kwa kikos chenu yanga anashinda2 weny akl kdg amuwez kujuw tatz nn tatz matumiz ya fedh cyo sahih mwamed tapel ikibid afukuzwe kweny uwekezaj pia hana scout nzur¡ ya ktatft wach
Tatizo bongo uzugaji ni mwingi kuliko seriouznex ya kazi