RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2026/2027 STORY July 20, 2026July 20, 2026 by Yahaya Abushehe Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) leo Julai 20, 2026 imetangaza ratiba ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027. Bonyeza kiunganishi (Link) hapa chini kupakua ratiba hii. RATIBA YA LIGI KUU YA NBC 2026 /2027